kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Yanga Ina wachezaji Ila Haina timu ukiwa mtu wa mpira utanielewa Ila usipokuwa mtu wa mpira huwezi kuelewa pamoja kwamba timu Ina madhaifu mengi nyuma Kama mwamnyeto Na Job lkn bado unaweza ukascore goli nyingi Ila Sasa Ni ubinafsi wa wachezaji ndo unawagharimu hili naona watu wengi hawalizungmzii kabisa sijui shida Ni Nini
Wao wanasema lazima tuteteme hata Kama siku hyo imegoma hii Ni tatzo anakuwa mbinafsi hii itawacost
Wao wanasema lazima tuteteme hata Kama siku hyo imegoma hii Ni tatzo anakuwa mbinafsi hii itawacost