round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Yanga walijitamba na medali, Simba wanaleta Kombe, Ni hivyo yaniShirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
Medali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwaYanga walijitamba na medali, Simba wanaleta Kombe, Ni hivyo yani
" ..ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania " haina comeback hii 👿Shirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
MSijisifu makosa ya tekinologia changa imewabeba,angechezesha Araaaajige mngekuwa mnalilia chooni hivi sasa...Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe ya yote matatu Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.
Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,
Simba tujikita na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
Ndiyo yaliyowatoa kutoka nafasi ya 78 mpaka 18 kwa ubora mlipoingia fainaliShirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
Chawa hawazi chakula wala familia anawaza tumbo lake tuu na kwa kuwa anapora damu kutoka kwa binadamu mzalemdo bila ridhaa yake hivyo hata haitaji akili kifikiri ya kesho,kesho kutwa ama ya familia!Chadema tumeumia sana, badala ya nchi kutijadili sisi, itaanza kujadili Simba, na bado inakuja kujadili derby
CAFCC tukicheza young Africans ni tofauti na UMITASHUMITA yenu ambayo hakuna bingwaNdiyo yaliyowatoa kutoka nafasi ya 78 mpaka 18 kwa ubora mlipoingia fainali
Na Kombe la Muungano linalochezwa kwa siku sita tu inapata Bingwa Yanga, unaliitaje?Shirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
Wachukue alafu simba ipigwe fainali itakuaje mkuu🤣Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe ya yote matatu Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.
Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,
Simba tujikita na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
Sawa!!!Shirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama
Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
Marumo gallants,rivers united...au siyooMedali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwa
Ila hii shirikisho ya Sasa ya akina coast union ni ovyo
Kwahiyo ilikuwa klabu bingwa?Medali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwa
Ila hii shirikisho ya Sasa ya akina coast union ni ovyo