Yanga Ruksa mchukue Ligi kuu, Muungano cup na hata FA, Simba tujikite kuleta kombe la kimatafa kwa mara ya kwanza Nchini

Shirikisho yaani UMISETA ni mashindano ya akina mama

Yaani ni aibu kuleta uchafu kombe la netball Tanzania
 
Yanga walijitamba na medali, Simba wanaleta Kombe, Ni hivyo yani
Medali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwa
Ila hii shirikisho ya Sasa ya akina coast union ni ovyo
 
Mwaka 93 mliandaa ruti kabisa mtapopitisha kombe. Hamjifunzi tu?
 
Wachezaji wa Simba ukimtoa Kibu hawana nguvu kabisa..

Kumbe ukitaka kumhenyesha Simba apply maguvu kwenye mechi dhidi yake..lazima atepete.
 
Chadema tumeumia sana, badala ya nchi kutijadili sisi, itaanza kujadili Simba, na bado inakuja kujadili derby
 
Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe ya yote matatu Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.

Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,

Simba tujikita na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
MSijisifu makosa ya tekinologia changa imewabeba,angechezesha Araaaajige mngekuwa mnalilia chooni hivi sasa...
 
Chadema tumeumia sana, badala ya nchi kutijadili sisi, itaanza kujadili Simba, na bado inakuja kujadili derby
Chawa hawazi chakula wala familia anawaza tumbo lake tuu na kwa kuwa anapora damu kutoka kwa binadamu mzalemdo bila ridhaa yake hivyo hata haitaji akili kifikiri ya kesho,kesho kutwa ama ya familia!
 
Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe ya yote matatu Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano.

Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress,

Simba tujikita na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
Wachukue alafu simba ipigwe fainali itakuaje mkuu🤣
 
Medali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwa
Ila hii shirikisho ya Sasa ya akina coast union ni ovyo
Marumo gallants,rivers united...au siyoo
Aibu sana
Mshikaji wewe ni mjinga mtipically😁😁😁😁😁kama alivosema manara wenu
 
Medali za Young Africans zilikuwa na hadhi maana mashindano yalikuwa na giants na baadhi ya mabingwa
Ila hii shirikisho ya Sasa ya akina coast union ni ovyo
Kwahiyo ilikuwa klabu bingwa?
 
Back
Top Bottom