MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Awashe tu simu, hatubembelezi mtuwakati mnafurahia kupanda ndege kuna mchezaji wenu mmoja amewazimia simu kutokana na kutolipwa mshahara bado yupo kongo
Mshalikomboa Bus lenu gereji kule Zambia?Vyura bana, sasa kutoka Dar kwenda Mby kwa mwewe mnaona big deal, mngekuwa mnaenda kukutana na mafarao huko ingekuwaje? Naona mnajifariji.
BADO MKUUBus la mikia bado lipo Zambia?
Timu uko timu ya maana [emoji106]. Shida kwenye siasa umechagua kuwa upande wa wauaji [emoji107]BADO MKUU
ahhah haha uko hamna wauaji ni majungu yenu tu,, lkn kuna siku mtatulewa.Timu uko timu ya maana [emoji106]. Shida kwenye siasa umechagua kuwa upande wa wauaji [emoji107]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu ya umma haiwezi kushindwa,never ever......Haya maisha bhana
Timu tajiri nchini juzi juzi ikicheza na timu ya Nkana waliingia uwanjani na basi la abood baada ya basi lao kupata ajali na kuharibika ambapo mpaka mida hii wameshindwa kulikomboa gereji.
Lakini timu inayosemekana kulia njaa mpaka sasa hivi msimu huu hawajawahi kutembea zaidi ya km 50 ardhini, Mbeya wamekwea pipa Mwanza pipa, Shinyanga pipa, kama Chamazi kuna uwanja basi tutegemee pipa, Ruvu shooting kama mna uwanja basi mjianda kupokea ndege, hata kwenye uwanja wao mpya wa mazoezi nasikia watajenga uwanja mdogo wa ndege .
Hii ndio maana ya timu ya wananchi
Fanya Kama unajikuna tu