MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Haya maisha bhana
Timu tajiri nchini juzi juzi ikicheza na timu ya Nkana waliingia uwanjani na basi la abood baada ya basi lao kupata ajali na kuharibika ambapo mpaka mida hii wameshindwa kulikomboa gereji.
Lakini timu inayosemekana kulia njaa mpaka sasa hivi msimu huu hawajawahi kutembea zaidi ya km 50 ardhini, Mbeya wamekwea pipa Mwanza pipa, Shinyanga pipa, kama Chamazi kuna uwanja basi tutegemee pipa, Ruvu shooting kama mna uwanja basi mjianda kupokea ndege, hata kwenye uwanja wao mpya wa mazoezi nasikia watajenga uwanja mdogo wa ndege .
Hii ndio maana ya timu ya wananchi