Yanga Sasa Tunahitaji Mawinga..

Yanga Sasa Tunahitaji Mawinga..

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tupo vizuri,maboresho tuliofanya dirisha dogo hili yamelipa vizuri.
Sasa shida tuliyonayo ni washambuliaji wa pembeni,ni wazi wamekua wakipoteza nafasi nyingi..

Kocha Nabi style ya sasa ya kutumia washambuliaji wawili ni nzuri,hii itatusaidia sana hata katika upatikanaji wa magoli mengi na nafasi zaidi.

Kumtumia Mayele peke yake kunafanya timu iwe na kazi kubwa katika kufunga kwa tabia ya mabeki wengi nchini kumzingira Mayele kila aendapo

Tupongeze uongozi kwa jitihada zote za kuimarisha kikosi na kweli tunazidi kuwa bora kila iitwapo leo
Sasa uongozi itumieni michuano hii ya CHAN inayoendelea huko Algeria kutuletea vijana wawili tu waje dirisha kubwa litakapofunguliwa...kule kuna vipaji vingi na kizuri wachezaji wale wote wanacheza ndani.

Nawasilisha.
 
Eti maboresho yamelipa, kwa uwezo upi wa musonda ?, Mkuu kama mikimbio hata Bata anayo, hapo mmepigwa..
Nawakumbusha zimebaki mechi 9 tu ligi iishe ndugu zangu wa [emoji881]
20230123_211709.jpg
 
Mawinga wa Simba.
Sakho.
Chama.
Banda.
Saidoo.
Okra.
PHIRI
Mwinuke
KIBU.

Ngoja tuone
 
We mpaka afunge ndo ujue mzuri au?
Mbona anapiga boli safi kabisa, anamiliki mpira, anatoa pasi nzuri, ana kasi n.k

Au ana shida ipi uloona wewe?
Kuna pasi moja nzuri kabisa kampa Mayele. Mayele yeye na goli tu anapiga kijshuti hata mtoto wa miaka mitano hawezi kupiga shuti hafifu kiasi kile. Ninge muhukumu Musonda kama chance alizopata Mayele angepata yeye na kushindwa kuzitendea haki. Musonda hakupata clear chances ila Mayele kapata clear chance zaidi ya tatu lakini kashindwa kuzitumia. Hakuna anaye muhukumu Mayele kwasababu ameshaonekana.
 
Eti maboresho yamelipa, kwa uwezo upi wa musonda ?, Mkuu kama mikimbio hata Bata anayo, hapo mmepigwa..
Bado mapema mno Kumhukumu,lakini ukumbuke hata hivyo ktk dakika chache alizocheza Musonda kaonyesha impact toka first touch ya siku ile mechi ya mwanzo na hataga.e ya pili na ujue hata lile goli waliojifunga wale mabeki zote ni kurupushani zake na mpaka anafikia kuumizwa kwa kuchezewa rafu huyu si wa kawaida
Ukitaka takwimu uliza hadi sasa msimu huu nani mfungaji bora ligi ya Zambia?
Unamlaumu mtu hata mechi 3 hana
 
We mpaka afunge ndo ujue mzuri au?
Mbona anapiga boli safi kabisa, anamiliki mpira, anatoa pasi nzuri, ana kasi n.k

Au ana shida ipi uloona wewe?
Hayo yote Chris Mugalu alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado mlimponda, Leo lime wageukia.
 
Bado mapema mno Kumhukumu,lakini ukumbuke hata hivyo ktk dakika chache alizocheza Musonda kaonyesha impact toka first touch ya siku ile mechi ya mwanzo na hataga.e ya pili na ujue hata lile goli waliojifunga wale mabeki zote ni kurupushani zake na mpaka anafikia kuumizwa kwa kuchezewa rafu huyu si wa kawaida
Ukitaka takwimu uliza hadi sasa msimu huu nani mfungaji bora ligi ya Zambia?
Unamlaumu mtu hata mechi 3 hana
Kwani si tupo, muda utasema [emoji16].
 
Mawinga yanga.

Ducapel Moroco.
Efue Morris.
Kisinda.
Farid Mussa.
Nkane
 
We mpaka afunge ndo ujue mzuri au?
Mbona anapiga boli safi kabisa, anamiliki mpira, anatoa pasi nzuri, ana kasi n.k

Au ana shida ipi uloona wewe?
Mkimbiaji tu uwanjani ...straika gan unakimbia kimbia tu uwanjani hata huyo mayele unamwona akiwa anakimbia kimbia ovyo ,mwangalie Jean Baleke vzr ,nafikiri hata Dejan angekuwepo yupo huna musonda hawezi kufua dafu mbele ya Dejan
 
Cha kwanza straika anaweza kuwa ni mzuri lakini kwenye mfumo akachelewa kuingia au asiweze kuingia katika mfumo. Ila tukilinganisha profile za nyuma, Musonda kamuacha Baleke mbali mno. Baleke angekuwa ni straika mzuri, asingepelekwa kwa mkopo ligi ya Lebanon kwa Mkopo na kisha kupelekwa Simba kwa mkopo pia. Halafu pamoja na kicheza ligi dhaifu ya Lebanon, akaambulia magoli matatu tu katika michezo 11 aliyocheza. Wakati Musonda katoka ligi ya Zambia na kuwa kinara wa magoli.
Shida ya Watanzania ni kuharakishia kutoa majibu bila kujipa muda. Kulikuwa na uzi humu za kusema Mayele Yanga wamepigwa kisa tu hakufunga mechi za awali. Mara Kibu Denis ni mzuri kuliko Mayele, Lomalisa Yanga wamepigwa.
 
Tupo vizuri,maboresho tuliofanya dirisha dogo hili yamelipa vizuri.
Sasa shida tuliyonayo ni washambuliaji wa pembeni,ni wazi wamekua wakipoteza nafasi nyingi..

Kocha Nabi style ya sasa ya kutumia washambuliaji wawili ni nzuri,hii itatusaidia sana hata katika upatikanaji wa magoli mengi na nafasi zaidi.

Kumtumia Mayele peke yake kunafanya timu iwe na kazi kubwa katika kufunga kwa tabia ya mabeki wengi nchini kumzingira Mayele kila aendapo

Tupongeze uongozi kwa jitihada zote za kuimarisha kikosi na kweli tunazidi kuwa bora kila iitwapo leo
Sasa uongozi itumieni michuano hii ya CHAN inayoendelea huko Algeria kutuletea vijana wawili tu waje dirisha kubwa litakapofunguliwa...kule kuna vipaji vingi na kizuri wachezaji wale wote wanacheza ndani.

Nawasilisha.
Nakukumbusha tu hao washambuliaji wawili anaowatumia wamefunga goli moja tu kwenye mechi mbili. Tena kwa kutengewa mpira na kipa wa Ihefu
 
Back
Top Bottom