Yanga Sasa Tunahitaji Mawinga..

Yanga Sasa Tunahitaji Mawinga..

Mugalu[emoji2][emoji2]vichekesho ni vingi sana jf
Hivi kuna straika aliyekuwa anajua ku-hold mali kama Mugalu, tena alikuwa na la ziada, alikuwa hadi anakaba, mkasema sifa ya straika ni magoli sio kukaba leo mnatuletea stori zenu eti mikimbio [emoji16]
 
Mayele ni straika mzuri ila kwa musonda mmepigwa.
Umekiri kuwa Mayele ni mzuri, huyo huyo Mayele unayesema ni mzuri kakosa magoli ya wazi zaidi ya manne kwenye mechi dhidi ya Ruvu shooting. Je uzuri wa Mayele upo wapi?
 
Umekiri kuwa Mayele ni mzuri, huyo huyo Mayele unayesema ni mzuri kakosa magoli ya wazi zaidi ya manne kwenye mechi dhidi ya Ruvu shooting. Je uzuri wa Mayele upo wapi?
Kuna siku mchezaji anaweza kuamka vibaya akakosa nafasi za wazi, ila kwa huyo musonda hata namba zake za nyuma hazi ridhishi.
 
Kuna siku mchezaji anaweza kuamka vibaya akakosa nafasi za wazi, ila kwa huyo musonda hata namba zake za nyuma hazi ridhishi.
Nipe namba zake za nyuma ili tuone kama haziridhishi. Halafu hilo jambo la mchezaji kuamka vibaya ni halali kwa Mayele peke yake ila kwa Musonda hana uhalali huo kwasababu yeye ni roboti sio binadamu si ndio?

Haya niambie Musonda kwanzia acheze Yanga kapata clear chances ngapi?
 
Tupo vizuri,maboresho tuliofanya dirisha dogo hili yamelipa vizuri.
Sasa shida tuliyonayo ni washambuliaji wa pembeni,ni wazi wamekua wakipoteza nafasi nyingi..

Kocha Nabi style ya sasa ya kutumia washambuliaji wawili ni nzuri,hii itatusaidia sana hata katika upatikanaji wa magoli mengi na nafasi zaidi.

Kumtumia Mayele peke yake kunafanya timu iwe na kazi kubwa katika kufunga kwa tabia ya mabeki wengi nchini kumzingira Mayele kila aendapo

Tupongeze uongozi kwa jitihada zote za kuimarisha kikosi na kweli tunazidi kuwa bora kila iitwapo leo
Sasa uongozi itumieni michuano hii ya CHAN inayoendelea huko Algeria kutuletea vijana wawili tu waje dirisha kubwa litakapofunguliwa...kule kuna vipaji vingi na kizuri wachezaji wale wote wanacheza ndani.

Nawasilisha.
Winga
Kisinda hamna kitu
Moloko atakufurahisha mara kadhaa ila atakukela zaidi kwa maamuzi ya ovyo kwenye nafasi muhimu
Faridi Mussa nae vile vile ana siku na siku.
Morrison angalau ndio mtu pekee wa maana japo nidhamu sifuri.
 
Nipe namba zake za nyuma ili tuone kama haziridhishi. Halafu hilo jambo la mchezaji kuamka vibaya ni halali kwa Mayele peke yake ila kwa Musonda hana uhalali huo kwasababu yeye ni roboti sio binadamu si ndio?

Haya niambie Musonda kwanzia acheze Yanga kapata clear chances ngapi?
Hapo harudi tena, hawa ndio aina ya kundi kubwa la mashabiki na wachambuzi wanaojifanya wajuaji.
 
Mayele ali-prove tangu mechi yake ya kwanza kuwa ni straika mzuri, ila kwa musonda muda utasema..
Haya jana yanga friend match kashinda goli 2 moja la Fiston na moja la musonda
 
... Sasa uongozi itumieni michuano hii ya CHAN inayoendelea huko Algeria kutuletea vijana wawili tu waje dirisha kubwa litakapofunguliwa...kule kuna vipaji vingi na kizuri wachezaji wale wote wanacheza ndani.
na hao vijana wawe na kasi ya ajabu ya kumchomoka Onyango, wasaidiane na Tuisila Kisinda
 
Back
Top Bottom