Unbeaten ya mchongo imewafanya muamini hiyo ni timu bora wakati sio.Hii ndio yanga yangu ninayoiamini aisee.
Huwa inaniangusha sana yaani.
jamaa hata Mimi kaniboaUnabowa, acha wengine watowe updates, si vibaya ukibaki kuwa msomaji tu.
Ni matokeo Mabaya lakini bora sare hii ya bila bila kuliko sare ya magoli.Ahsante! Hii ndio yanga yangu ninayoiamini aisee.
Huwa inaniangusha sana yaani.
Matokeo hayajakuboa mkuu?[emoji23]Unabowa, acha wengine watowe updates, si vibaya ukibaki kuwa msomaji tu.
[emoji123]