Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani mikia inafika wapi kabla haijakatwa😹😹nyie pambaneni hapahapa ligi ya ndani ila nje kaeni chini mufundishwe hamjui kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mikia inafika wapi kabla haijakatwa😹😹nyie pambaneni hapahapa ligi ya ndani ila nje kaeni chini mufundishwe hamjui kitu
Umeona mziki wa mla mihogo😄Omba usikutane na mla mihogo mziki wake sii mchezo🏃🏃
Na walifika hadi fainali wewe sasa hivi upo huku na wewe fika fainali Cc ephen_Ngoja wapate kamoja utawaona watakavyobanana hapa [emoji23]
Hizi dharau ndio ulipigwa 5Yanga wa kawaida saana, sijui huwa wanajigamba nini. Huyu refa sijui Yanga mmempa nini ila msipokuwa makini game hii hamsapui.
Hawa jamaa watawaotea kimoja tu wanafunga mahesabu.
Na wewe 😂 upo huku shirikishoOya Yanga ikifungwa sote tuhisi raha, bleach nyingi kuliko kiwango muite tuisila...
Hawawezi Hawa ni makolo 😂😁Simba wakifika fainal ya loosers cup niite mbwa
UnalsemajeImagine Kombe la Losers lakini wamelose pia
UnasemaNa mpira walicheza kuliko hivi
Kipanga kila wakiangalia hii mechi wanaziona goli 9 kule tunis
Mwasibu feki mwingine huyo.Oya Yanga ikifungwa sote tuhisi raha, bleach nyingi kuliko kiwango muite tuisila...