Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Mnavyo fanya dhulma kwa timu za ndani, hiyo dhulma ndio inawarudia.

Mnahonga sana mshinde.
Mnahonga sana Simba ifungwe.

Sasa hivi mnahonga ili marefa msio wataka wafungiwe.
 
Tatizo lilianzia hapa👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1667389116355.jpg
    FB_IMG_1667389116355.jpg
    39.9 KB · Views: 3
mwaka huu itakua zero (0) mkuu, maana zile ni miaka 5 nyuma ambapo sasa tupo mwaka wa 6 kimashindano,

watahesabu 18/19, 19/20, 20/21, 21/22, na huu wa 22/23 ambapo yanga miaka hio yote hayaingia makundi hata ya shirikisho!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kikosi kinachoanza cha klabu African
١ محميد على
٢ رشيد بن سعيد
٣ سليمان بن محمد
٤. محمد منصور
٥ عمران حسين
٦ عيسى بن سلطان
٧ حالس عيوب
٨ ياسن ساالم
٩ سمير ناسر
١٠ فهد حسين
١١عبدالله إبن خزيم
Muhammad Ally
Rashid bin Said
Sulayman bn Muhammad
....
...
...
Abdallah
 
Subtitute
١ ناصر حماد
٢ شبرات امير
٣. سعيد مولد
٤. جمعة شاكر
٥. مصطفى سعود
٦. علي جابر
Nasor Hamad
Shabrat Jamal
Said Maulid(huyu km mbongo)
Juma Shakur
Mustafa Said
Aly jabar
Ahsante kunirudisha huku kumbe Bado nakumbuka[emoji3]
 
Unatia huruma mpaka unaonekana una busara
nyinyi ni wabovu subiri muwapokee wageni tu
[emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]imebdi nicheke ,maana yeye mwenyewe mshabiki afu anatoa ushauri kaahh kwa kua katepeta Leo siku akishinda haongei hayoo
 
Kuna namna viongozi wetu wabadilike.

Hii club ishakua kongwe sasa na kubwa katika ndani ya mipaka ya nchi.

Sitaki kuamini kama hii mechi hakukua na mpango maalumu wala wa kueleweka.

Kuna jinsi ambavyo viongozi wanatakiwa wawajibike.

Mpango gani maalumu au ndio wa kutembeza bahasha ,mpira mchezo wa hadharani mkuu.

Mnataka mshinde kwa mbinu zingine tofauti na uwanjani?

Ligi ya bongo hapa mmefanikiwa kule kwa mabingwa wenzenu kila mtu ana hela kama wewe tu.
 
Yanga ina kikosi kizuri kuliko Simba, ila sijui nini huwakuta kimataifa
Yanga akomae ahame upande wa loser ahamie upande magiant alipo simba, msimu mmoja amuotee mkubwa mmoja ampige aingie makundi
 
Al hilal ni timu nzuri huna uwezo hata wa kupata goli moja, africaine ndo huwawezi kabisa, wafunge Mbabane swallows, big bullets, de agosto
Huyu Al hilal ni level za simba na yanga ni basi tu yanga hakuchanga karata zake vizuri, huyu Al hilal akufa bao4 kwa simba
 
Sasa mtani kwa vile mmeshatimuliwa kimataifa mwacheni tu aendelee na unbeaten yake huku NBC.

Maana hata mkifukuza sasa hivi haisadii. Ila tambueni pia ubingwa wa NBC hapati na hapo sasa ndio mfukuze.
Ila inasikitisha sana Mtani.
 
Back
Top Bottom