Pole watarudisha tu, leo siku kubwa hawawezi kukuweka gizaniNdio. Nimejitoa kibaruani mapema nikijua upo cha ajabu. Hola.
Ahsante Mkuu hapa sababu wanasema umekatika asubuhi mida yao ya kurudisha ni 18:00hrs na kuendelea.Pole watarudisha tu, leo siku kubwa hawawezi kukuweka gizani
Wahurumie jomba πLeo wanachomolewa mwiko nyuma na kupakuliwa
Sababu ya kukimbia uzi haipoMukae hadi mwisho sio mukimbie baadae.
Kumbe eeeh?Sababu ya kukimbia uzi haipo
Mashabiki wachache sana wamejitokeza uwanjani
ππππSamia anatakiwa kuachia madaraka. Anapata hela za kisherehekea sensa,badala ya kushughulika na janga la umeme