Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga muwe munaenda kuipa nguvu timu yenu
Uwanja ni mweupe pamoja na tiketi za bure.
 
Bangala
Kisinda
Aucho
Aziz Kii

Med

Diarra anapiga pale
Job
Morison
Job

Madhambi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utopoloo pole ya mapeamaaa kabisa
 
Job

Diarra
Aucho

Mpira unawekwa nje Fair Play

Mchezaji wa Club Africain yupo chini
 
Kisinda mipira yake na mbio havina uwiano sawa
 
Uwanja leo nauona kama mbovu

Au wenzangu mnauonaje?
 
Aucho
Diarra
Bangala
Diarra
Job
Job
Fei
Bangala
Kisinda
Wanapoteza
Mohamed

Wa kurushwa
 
Morison
Aziz Kii
Bangala
Shaban
Fei
Kisinda
Aucho

Pasi mkaa

Job
Fei

Fei amewekwa chini

Aucho
Aziz Kii
Job

Dakika 10'

Yanga 0-0 Club Africain
 
Bangala
Juma Shaban
Aziz Kii

Aziz Kii kachezewa ndivyo sivyo pale
 
Morison anapiga Kona ile

Club Africain wanakataa wanaondosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…