Yanga Sc 1 Vs 1 Township Rollers


Doh 🀣🀣🀣🀣
 
Wekeni akiba ya maneno mikia....

Soko la bongo ndo uwezo wetu huo.
 
Mm nasema tena ni yanga damu ila mpira tumecheza kadili ya uwezo wetu. Mpira wa wenu Simba nimeuona hakuna timu pale, wale wenzenu walikuwa sirious ila nyie mnalukaluka uwanjani. To me bora yanga imecheza mpira wa kuliko nyie mliokwenda kupiga tizi kwenye viwanja vya watu.
 
Si wapo ugenini ndo maana wamecheza hivyo?au we ulitaka wafungunge wale 5 Kama za msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…