Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga Baridiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga Baridiiiiiii
Toka Apa!Alisikika mlevi mmoja
Daa!! Afadhali, lakini Media kubwa Kama hii hawapaswi kufanya makosa ta kiboya kama haya!Wako live mkuu
Hawajawai pasua anga, namsubiri Zahera baadae ataongea nn kama matokeo yatabaki hv.Yanga mnakwama wapi aisee?
Tulia kocha afanye kazi yake. Kumbuka ameikopesha hii timu hela mingiHuyu kocha anaejiamlia likizo mwenyewe hatufai. Goli dk ya nane.
Dah awa ndugu zetu baridi sana kwakweli nilitarajia uzi kama huu ungeanzishwa mapema sana na wale wakereketwa wa yanga lkn wamekua kimya hadi mkuu OKW BOBAN SUNZU ameamua kuwasaidiaYanga Baridiiiiiii
Yanga aflika.. Haaaa haaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]