Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu?

🏆 NBC Premierleague
⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania
📆 22.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Snapinsta.app_463947789_1469244270440823_4972648905880839223_n_1080.jpg

Snapinsta.app_464011895_519977834154297_5413060705881870779_n_1080.jpg


Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka

Dakika, 36 mpira bado unakasi sana

Dakika,41 mchezaji wa JKT anapata kadi nyekundu.

Dakika, 44 Goooool Yanga wanapata goli la pili.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimetamatika Yanga wanatoka kifua mbele.

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeshaanza.

Dakika,54 Yanga wapo kwenye umiliki wa mpira.

Dakika,59 Yanga wametengeneza nafasi mbili za kufunga ila wameshindwa kuzitumia.

Dakika,67 Yanga wameendelea kupeleka pumzi ya moto JKT.

Dakika,70 Aziz Ki anakosa goli la wazi kabisa.

Dakika,73 Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Baleke anatoka Chama pia anatoka Job anaingia Yao.

Dakika,83 JKT wamekuwa watulivu wanaumiliki mpira sasa.

Full Time Yanga wanaondoka na alama 3
 
Mechi hii itakuwa ngumu kuliko iliyopita ila ushindi upo kama kawaida lengo ni kupata point 3 na kumaliza mzunguko wa kwanza na total dominance ya 45 points maana ushindani wa Singida black stars sio mdogo
 
Bocco anatupia 1, Kichuya naye anapiga krosi moja kwa moja kambani. Ushindi wa kizalendo.
 
Back
Top Bottom