Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatuhusu nini hii!
Timu zote tz ni mbovu kwa yangaJKT kwa yanga wabovu sana,wanakazaga kwa simba tu.Natania jamani
Mwaka wenu...sio enzi zile za kupitisha bakuli 🤣🤣🤣Yanga itapiga yeyote anaepita.....
...😂😂😂Hii Yanga ambayo imeshajiandalia mazingira ya ushindi iwe kwa magumashi au la mnaitazama?