Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu?

🏆 NBC Premierleague
⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania
📆 22.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
View attachment 3132173
View attachment 3132767

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka

Dakika, 36 mpira bado unakasi sana

Dakika,41 mchezaji wa JKT anapata kadi nyekundu.

Dakika, 44 Goooool Yanga wanapata goli la pili.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimetamatika Yanga wanatoka kifua mbele.

Dakika 45 za kipindi cha pili zimeshaanza.

Dakika,54 Yanga wapo kwenye umiliki wa mpira.

Dakika,59 Yanga wametengeneza nafasi mbili za kufunga ila wameshindwa kuzitumia.

Dakika,67 Yanga wameendelea kupeleka pumzi ya moto JKT.

Dakika,70 Aziz Ki anakosa goli la wazi kabisa.

Dakika,73 Yanga wanafanya mabadiliko anaingia Baleke anatoka Chama pia anatoka Job anaingia Yao.

Dakika,83 JKT wamekuwa watulivu wanaumiliki mpira sasa.
Huyu Diarra watamuua
 
Back
Top Bottom