Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mume akifa kwa ukimwi mke anafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora scars na Nawatafuna hawanaga matusi hao mashabiki wengine wa simba ni mwendo wa matusi tu bila hoja.Mimi si shabiki wa hizi timu mbili za Kariakoo, lakini niwe fair, mashabiki wa Simba wa JF Wana tatizo kubwa la uelewa ukimwondoa NAWATAFUNA. Ni huyu pekee unaweza kubishana naye masuala ya soka ukapata kitu. OKWI BOBAN SUNZU alikuwa vizuri awali, siku hizi sijui karogwa na kina Scars wasiojua chochote basi naye kawa kama shabiki maandazi. SALGANO naye ni kajipoteza kwenye kundi la Wahuni. GENTAMYCINE namhifadhi kutokana na mahusiano yaliyopo Kati yangu na yeye na tuna mkataba wa kutosemana Kwa lolote. Mshana Jr anabaki katika orodha ya wanaojua nini wanafanya, yeye na Shadeeya ni mashabiki hasa.