Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Hivi mnaona hii dalili kukumbatiana na Engineer? Kuna ile picha na video ilisambaa kakumbatiwa kwa nyuma kama anatekenywa.

Sasa hivi tena goli limefungwa kakumbatiwa Kama anapapaswa. Kwa wanaume rijali ni aibu sana
 
sasa shati kavulia nini. ushamba mwingine bana
Wenzie wanafanyaga vile kuonesha 6 packs na ki chest

Sasa tumbo limejifinya unavua shati unataka kuwatangazia njaa watu?

Kupitia tumbo watu wanaweza kujua kwamba mtoto wao ashibagi, msosi ni adimu pale jangwani
 
Hivi mnaona hii dalili kukumbatiana na Engineer? Kuna ile picha na video ilisambaa kakumbatiwa kwa nyuma kama anatekenywa.

Sasa hivi tena goli limefungwa kakumbatiwa Kama anapapaswa. Kwa wanaume rijali ni aibu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Simba tunawataka, msilete habari za kufungwa ili mtukimbie.
 
Wenzie wanafanyaga vile kuonesha 6 packs na ki chest

Sasa tumbo limejifinya unavua shati unataka kuwatangazia njaa watu?

Kupitia tumbo watu wanaweza kujua kwamba mtoto wao ashibagi, msosi ni adimu pale jangwani
Alafu ana tumbo laini kweli yani.
 
Haya sasa ule muda wa kujiangusha tulio ambiwa na kocha ndio huu
 
Mchezaji wa yanga kashikishwa mpira kwenye box
 
Wenzie wanafanyaga vile kuonesha 6 packs na ki chest

Sasa tumbo limejifinya unavua shati unataka kuwatangazia njaa watu?

Kupitia tumbo watu wanaweza kujua kwamba mtoto wao ashibagi, msosi ni adimu pale jangwani
Halafu tumbo lainii kama la mzee wa bwaksi , Yanga ni watamu mjue?....

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…