Tuoneshe tatizo liko wapi kwenye goli hili?Haya sasa bao la tatu hilo
Acha porojo tuoneshe hapa refa anahusikaje? Mnaweweseka sana kama yatima wa Magufuli.Mukokoooo dakika ya 75 anaiandikia yanga goal la tatu wakati ruvu shooting akiwa na goal 1 na hiyo inatufundisha kua ni vema kufika bei na refa kuliko kufanya jeuri
Naa naam tuendelee kuinjoi, mpira ni mzuri na refa anaendelea kubaki katika kiwango chake kile kile
Kwamba timu iliyoshinda 3 kwa 1 na kuzoa point zote 3 na timu iliyotoka droo ya 0 kwa 0 na kuambulia point 1 kwamba hii kwako ni sifa?Simba ni timu pekee yenye cleansheet
Mlezi wa Namungo, Bwana Qasim anasemaje kuhusu Simba yake? Tuanzie hapo kwanzaNawakumbusha timu ya Namungo haina wachezaji watoto kiumri kama wale Coastal union
Abdulaziz Makame
Obrey chirwa
Lucas kikoti
Reliants Lusajo
Blaise Bigirimana
Shiza kichuya
Haruna shamte
David Molinga "Falcao"
Sixtus sabilo
Baraka Mtuwi
Jonathan Nahimana(Golie wa viwango huyu)
Wanangu wa Namungo kesho naomba sare tu
Watawaachia..ila wangecheza bila maelekezo kutoka juu basi mikia yangekufaa hata 3Mlezi wa Namungo, Bwana Qasim anasemaje kuhusu Simba yake? Tuanzie hapo kwanza
Kwa hiyo kwako uto 3-1 ni sawa na 3-0? this is not normal, ni mental caseKwamba timu iliyoshinda 3 kwa 1 na kuzoa point zote 3 na timu iliyotoka droo ya 0 kwa 0 na kuambulia point 1 kwamba hii kwako ni sifa?
Brother wahi Milembe wakakucheck afya ya akili, this is not normal, ni mental case.
Duh ww jamaa kwamba droo ni nzuri kuliko 3-1?Kwa hiyo kwako uto 3-1 ni sawa na 3-0? this is not normal, ni mental case