Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Nawakumbusha timu ya Namungo haina wachezaji watoto kiumri kama wale Coastal union

Abdulaziz Makame
Obrey chirwa
Lucas kikoti
Reliants Lusajo
Blaise Bigirimana
Shiza kichuya
Haruna shamte
David Molinga "Falcao"
Sixtus sabilo
Baraka Mtuwi
Jonathan Nahimana(Golie wa viwango huyu)

Wanangu wa Namungo kesho naomba sare tu
 
Mukokoooo dakika ya 75 anaiandikia yanga goal la tatu wakati ruvu shooting akiwa na goal 1 na hiyo inatufundisha kua ni vema kufika bei na refa kuliko kufanya jeuri

Naa naam tuendelee kuinjoi, mpira ni mzuri na refa anaendelea kubaki katika kiwango chake kile kile
Acha porojo tuoneshe hapa refa anahusikaje? Mnaweweseka sana kama yatima wa Magufuli.
 

Attachments

  • 1635882586569.mp4
    2.4 MB
Nawakumbusha timu ya Namungo haina wachezaji watoto kiumri kama wale Coastal union

Abdulaziz Makame
Obrey chirwa
Lucas kikoti
Reliants Lusajo
Blaise Bigirimana
Shiza kichuya
Haruna shamte
David Molinga "Falcao"
Sixtus sabilo
Baraka Mtuwi
Jonathan Nahimana(Golie wa viwango huyu)

Wanangu wa Namungo kesho naomba sare tu
Mlezi wa Namungo, Bwana Qasim anasemaje kuhusu Simba yake? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwamba timu iliyoshinda 3 kwa 1 na kuzoa point zote 3 na timu iliyotoka droo ya 0 kwa 0 na kuambulia point 1 kwamba hii kwako ni sifa?

Brother wahi Milembe wakakucheck afya ya akili, this is not normal, ni mental case.
Kwa hiyo kwako uto 3-1 ni sawa na 3-0? this is not normal, ni mental case
 
Back
Top Bottom