Kabisa kadi ya kutengenezwa ile ilikua njano bwanakadi nyekundu ni mpango wa kando
We unaonaje?Kumbe afanye fair...basi sawa mkuu
Sheria ifuatwe.We unaonaje?
Angalia match ya Manchester City vs Crystal Palace red card ya Ayemeric Laporte inafanana na hii.kadi nyekundu ni mpango wa kando
Ya fair challenge?Sheria ifuatwe.
Jana na nyie refa akawafanyia fair kwa tukio lile lile kama lililotokea kwa YangaAfanye fair kama alivyo peta penalty ya azam siku ile kwa kutafsiri kua ni fair challenge
Hapana, hii ya leo ni incredibleAngalia match ya Manchester City vs Crystal Palace red card ya Ayemeric Laporte inafanana na hii.
Kwa mfano ile comeback ya Yanga kwenye sare ya 2-2 kipa alikuwa nani? Unajua Mapinduzi Balama anakucheka huko alipoUzuri hao.manyani hawaja wahi mfunga manula.goli zaidi ya moja kwenye mechi mlizokutana nae
Jana hakukua na fair, jana ilikua ni kanuniJana na nyie refa akawafanyia fair kwa tukio lile lile kama lililotokea kwa Yanga
Ruvu alianza kufunga,Nani Kaanza Kufunga na Nani kasawazisha?
timu boraNani Kaanza Kufunga na Nani kasawazisha?
Kufunga & assistKazi ya striker ni kufanya nini?