Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Afanye fair kama alivyo peta penalty ya azam siku ile kwa kutafsiri kua ni fair challenge
Jana na nyie refa akawafanyia fair kwa tukio lile lile kama lililotokea kwa Yanga
 
Uzuri hao.manyani hawaja wahi mfunga manula.goli zaidi ya moja kwenye mechi mlizokutana nae
Kwa mfano ile comeback ya Yanga kwenye sare ya 2-2 kipa alikuwa nani? Unajua Mapinduzi Balama anakucheka huko alipo
 
haya sasa mi nilisema chekini sasa hii penalty mazee
 
Na penalty tena? Mshindwe nyinyi tu.

Hii ingekuwa ni ya Simba ungesikia swala la mbeleko 😂😂
 
Back
Top Bottom