Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Na penalty tena? Mshindwe nyinyi tu.

Hii ingekuwa ni ya Simba ungesikia swala la mbeleko πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani upungufu wa wachezaji wa ruvu haukuwaridhisha yanga kuwa na hakika wa kushinda mechi so ikawabidi watumie mapumziko kufanya mapatano ya bei na refa
 
Angalia match ya Manchester City vs Crystal Palace red card ya Ayemeric Laporte inafanana na hii.
Ila sisi tulipowambia mrejee maamzi ya penalty katika mechi ya Beyern ambayo yalifanana moja kwa moja na yale ya mechi ya Simba, hamkutaka kabisa kuelewa.

Mkuki kwa Simba, kwa Yanga ni mchunguπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Yani upungufu wa wachezaji wa ruvu haukuwaridhisha yanga kuwa na hakika wa kushinda mechi so ikawabidi watumie mapumziko kufanya mapatano ya bei na refa
Hiyo team wanaikuza sana, ila ni ya kawaida sana.Ni swala la muda tu.
 
Ntibanzokiza kacheza faul ya kupata Yellow lakini refa kapeta
 
Ila sisi tulipowambia mrejee maamzi ya penalty katika mechi ya Beyern ambayo yalifanana moja kwa moja na yale ya mechi ya Simba, hamkutaka kabisa kuelewa.

Mkuki kwa Simba, kwa Yanga ni mchungu[emoji23][emoji23].
Beyern ndio timu gani
 
Basi kama ni hivyo basi Mayele anafanya kazi sahihi sijaona mantiki ya Scars kusema n8 mchoyo
Ukiwa na mpira halafu halafu ukawa umekosa balansi ya kuwatoka walinzi na mbele yako kuna beki wa timu yako ambaye yuko katika position ya kufunga, utakubali kuucheza peke yako mpira ambao mwisho wa siku utaupoteza au utatoa assist kwa beki afunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…