Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Yani upungufu wa wachezaji wa ruvu haukuwaridhisha yanga kuwa na hakika wa kushinda mechi so ikawabidi watumie mapumziko kufanya mapatano ya bei na refaNa penalty tena? Mshindwe nyinyi tu.
Hii ingekuwa ni ya Simba ungesikia swala la mbeleko 😂😂