mkuu una pointi nzuri ila imepoteza maana kwani hukuyasema haya kwenye mechi za Simba vs Biashara, Dodoma jiji, Polisi Tanzania na Coastal Union ambapo wote kwa macho yetu tuliona michongo lakini ulikaa kimya.Tujifunze kuwa na marefa matajiri, haya maswala ya kwamba mtu anafanya training ya urefa na kaajiliwa kwasababu nyumbani tembele halichemki matokeo yake ndio haya, Refa hata akiahidiwa laki 5 yuko tayari kufanya ufuska ambao kwa macho ya kawaida tu kila mtu anaona ni ubebwaji
Tujifunze kuwa na marefa matajiri, haya maswala ya kwamba mtu anafanya training ya urefa na kaajiliwa kwasababu nyumbani tembele halichemki matokeo yake ndio haya, Refa hata akiahidiwa laki 5 yuko tayari kufanya ufuska ambao kwa macho ya kawaida tu kila mtu anaona ni ubebwaji
Muhindi huyo kapanik ... hapo mwendo wa tambuu hata mate hatemi.Unabonga sana aise
Mukokoooo dakika ya 75 anaiandikia yanga goal la tatu wakati ruvu shooting akiwa na goal 1 na hiyo inatufundisha kua ni vema kufika bei na refa kuliko kufanya jeuriMukokoooooo! Dk ya 75 Yanga 3 Ruvu Shooting 1!
Muhindi huyo kapanik ... hapo mwendo wa tambuu hata mate hatemi.
Tulieni leo ushindi ni wakishindo mpaka yule mdaka mishale anaweza kutoka na hatrickMuhindi huyo kapanik ... hapo mwendo wa tambuu hata mate hatemi.
Kauli ya Manara ifanyiwe kazi ..kwanini Yanga & Simba hawawezi shinda bila kubebwa kwa Penati na kadi nyekundu kwa timu pinzani?....Mechi Ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting haijawahi kumalizika bila goli katika mechi nane za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18. Yanga imeshinda mechi sita, sare moja na kupoteza mara moja na ushindi siku zote umekuwa ni wa tofauti ya goli moja.
Yanga amefunga Jumla ya Magoli 13, Fuvu Shooting Goli 8, Jumla Kwa michezo yotr ni Goli 21
Je, Leo Itakuwaje?
Ni saa 12 : 15 Jioni Ya Leo
Huu msimu mtapata tabu sana! Maana Yanga sijui ina hela kiasi gani!! Waamuzi tuwahonge sisi, wachezaji tuwahinge sisi, timu kama timu mfano Biashara United tuihonge sisi!Mukokoooo dakika ya 75 anaiandikia yanga goal la tatu wakati ruvu shooting akiwa na goal 1 na hiyo inatufundisha kua ni vema kufika bei na refa kuliko kufanya jeuri
Naa naam tuendelee kuinjoi, mpira ni mzuri na refa anaendelea kubaki katika kiwango chake kile kile
Mtenda akitendewa anahisi kaonewaNyie mikia kaeni kimya kabisa... Mo wenu aliinunua TFF mpaka marefa wotte kwa zaidi ya miaka minne..
Pigeni kimya kabisaaa..
Kauli ya Manara ifanyiwe kazi ..kwanini Yanga & Simba hawawezi shinda bila kubebwa kwa Penati na kadi nyekundu kwa timu pinzani?....