Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
Dah mwamba unateseka kinyama... pole sana aiseeHuyu refa vipi mbona yuko nje ya makubaliano, tulimwambia dakika ya 80 tuwe na penalty mbili sasa hivi ni dakika ya 86 na hajafanya chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mwamba unateseka kinyama... pole sana aiseeHuyu refa vipi mbona yuko nje ya makubaliano, tulimwambia dakika ya 80 tuwe na penalty mbili sasa hivi ni dakika ya 86 na hajafanya chochote
Wapuuzi sana.. Wanaffikiri tumesahau vile viporo... Ligi imeisha wao bado wana viporo.Mtenda akitendewa anahisi kaonewa
Marefa wa ligi kuu hata mtaani wanaishi kwa kujificha kutokana na wingi wa madeni, hiyo inawapa spirit ya kuwa risk taker kwa dau dogo tu na ndio maana kwenye mechi za club bingwa hamuweziHuu msimu mtapata tabu sana! Maana Yanga sijui ina hela kiasi gani!! Waamuzi tuwahonge sisi, wachezaji tuwahinge sisi, timu kama timu mfano Biashara United tuihonge sisi!
Na sasa tunajipanga kumhonga Moo! Ili tuwapige goli za kutosha mechi zijazo.
Hili ndo umeligundua leo...Marefa wa ligi kuu hata mtaani wanaishi kwa kujificha kutokana na wingi wa madeni, hiyo inawapa spirit ya kuwa risk taker kwa dau dogo tu na ndio maana kwenye mechi za club bingwa hamuwezi
Kwenye club bingwa hamuwekezi nguvu zenu kumhonga refa kwasababu mnajua dau lake ni kubwa, mara nyingi mkiwa club bingwa mnawekeza kwenye fujo, kuwapiga marungu wachezaji kama ambavyo mlifanya kwa rivers
Mimi siteseki man, na wala simlaumu refa kwasababu najua madeni yana nguvu sana hata wale wakujitoa muhanga asilimia kubwa wanakua na madeni, mtu mwenye madeni anaweza kufanya chochote bila hofu, hujaangalia SQUID GAME?Dah mwamba unateseka kinyama... pole sana aisee
Haya mpira umeisha nenda kashkane mkono na refa mpige na picha ya kumbukumbuHili ndo umeligundua leo...
Mkishinda unafuta kauli..!??
Utaolewa..
😂😂😂😂😂
Mcheki refa sasa, jasho mbaka zina donyaBangala hata hajatoka jasho yani.
Kaanzishe uzi wa madeni uweke na vielelezo, hapa tunazungumzia Yanga kushinda kwa kishindo.Mimi siteseki man, na wala simlaumu refa kwasababu najua madeni yana nguvu sana hata wale wakujitoa muhanga asilimia kubwa wanakua na madeni, mtu mwenye madeni anaweza kufanya chochote bila hofu, hujaangalia SQUID GAME?
Pole sana!Yanga wapo 13 lakini hawana madhara kwa timu yenye wachezaji 10
Pole Sana,mpira una Sheria zakeHaya sasa yanga 2 ruvu 1 huku goal la pili likiwa assisted na refa
Unateseka ukiwa wapi?🥱🥱Huyu refa vipi mbona yuko nje ya makubaliano, tulimwambia dakika ya 80 tuwe na penalty mbili sasa hivi ni dakika ya 86 na hajafanya chochote
Tuitieni Masao Bwire na kujimwabafai kwake kabla ya mchezo.full time, yanga 0 - ruvu 1,
Huwezi kuzungumzia huu ushindi bila kumtaja refa, na refa huwezi kumtenganisha na madeniKaanzishe uzi wa madeni uweke na vielelezo, hapa tunazungumzia Yanga kushinda kwa kishindo.
Hapana mkuu siteseki
Kwani bacelona ya bongo wamekwamia wapi , mbona wametuangusha?Mpapaso umeanza🤣🤣🤣
Yeah na ndio maana kuna goal konaPole Sana,mpira una Sheria zake
Wewe sio yanga wewe ni simba unataka kujenga chuki zidi ya mayeleSasa jamaa anachokifanya ni kukomaa, hataki kutoa assist anataka akuze CV ionekane kila mechi kafunga