Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Huu msimu mtapata tabu sana! Maana Yanga sijui ina hela kiasi gani!! Waamuzi tuwahonge sisi, wachezaji tuwahinge sisi, timu kama timu mfano Biashara United tuihonge sisi!

Na sasa tunajipanga kumhonga Moo! Ili tuwapige goli za kutosha mechi zijazo.
Marefa wa ligi kuu hata mtaani wanaishi kwa kujificha kutokana na wingi wa madeni, hiyo inawapa spirit ya kuwa risk taker kwa dau dogo tu na ndio maana kwenye mechi za club bingwa hamuwezi

Kwenye club bingwa hamuwekezi nguvu zenu kumhonga refa kwasababu mnajua dau lake ni kubwa, mara nyingi mkiwa club bingwa mnawekeza kwenye fujo, kuwapiga marungu wachezaji kama ambavyo mlifanya kwa rivers
 
Hili ndo umeligundua leo...
Mkishinda unafuta kauli..!??

Utaolewa..

😂😂😂😂😂
 
Dah mwamba unateseka kinyama... pole sana aisee
Mimi siteseki man, na wala simlaumu refa kwasababu najua madeni yana nguvu sana hata wale wakujitoa muhanga asilimia kubwa wanakua na madeni, mtu mwenye madeni anaweza kufanya chochote bila hofu, hujaangalia SQUID GAME?
 
Hili ndo umeligundua leo...
Mkishinda unafuta kauli..!??

Utaolewa..

😂😂😂😂😂
Haya mpira umeisha nenda kashkane mkono na refa mpige na picha ya kumbukumbu
 
Mimi siteseki man, na wala simlaumu refa kwasababu najua madeni yana nguvu sana hata wale wakujitoa muhanga asilimia kubwa wanakua na madeni, mtu mwenye madeni anaweza kufanya chochote bila hofu, hujaangalia SQUID GAME?
Kaanzishe uzi wa madeni uweke na vielelezo, hapa tunazungumzia Yanga kushinda kwa kishindo.
 
Kaanzishe uzi wa madeni uweke na vielelezo, hapa tunazungumzia Yanga kushinda kwa kishindo.
Huwezi kuzungumzia huu ushindi bila kumtaja refa, na refa huwezi kumtenganisha na madeni
 
Kumbe leo kulikuwa na Penati na redi kadi pia.
Nilidhani tuna bebwa sisi tu.
 
Sasa jamaa anachokifanya ni kukomaa, hataki kutoa assist anataka akuze CV ionekane kila mechi kafunga
Wewe sio yanga wewe ni simba unataka kujenga chuki zidi ya mayele
Ila Tambuwa mayele ndiye kasawazisha Red card mayele ndiye kasawazisha penalti utasema nini juu yake
Acha kujenga chuki my bro
 
Back
Top Bottom