Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Kuna Fanta na Yanga, sasa nyie sijui mtachagua kipi hapo?
 
Tutaachaje kuwa na viporo wakati tuna majukumu makubwa ya Kitaifa mabegani mwetu? Msio na majukumu malizeni kabisa mechi zenu,sie tutakuja kufunga hesabu za mwisho wa msimu.
Hoja ya kishamba sana, ulaya man city, liva wanacheza zaidi ya mashindano 4 na hana viporo kuepuka kupanga matokeo bongo mashindano ya shirikisho mtu anakuwa na viporo 10+ na kombe habebi wala nusu hafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…