Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Ushindi wa YANGA mwaka huu ungekuwa na TASTE kama GSM asingekuwa mfadhili wa LIGI..
 
Matokeo ya leo yanasababisha presha kubwa sana mwaka kesho.
 
Mtanuna sana msimu huu msumari wa nne huo. Nyie endeleeni kusubiri viporo vyenu vya kutengenezewa na TFF ili mvinunue.

Uto mbona tushawazoea,si unaona ushaanza kutokwa povu.Unakumbuka kile kipindi mko na points 12 clear mnaongoza ligi?
 
Ushindi wa YANGA mwaka huu ungekuwa na TASTE kama GSM asingekuwa mfadhili wa LIGI..
Hivi nyie Makolo mna matatizo gani? Mbona ufadhili wa Azam hamuusemi?! Haya sasa; Makolo mliugomea ufadhili! Mbona Ngao ya Jamii mlitandikwa na Ligi Kuu mkatoka sare kisha mkashangilia siku mzima?! Azam na yeye ina maana alitandikwa kwa sababu ya GSM kudhamini ligi?
 
Uto mbona tushawazoea,si unaona ushaanza kutokwa povu.Unakumbuka kile kipindi mko na points 12 clear mnaongoza ligi?
Endelea kupata burudani kutoka kwa Yanga,endelea kukalili ila shangai mnavipigia hesabu viporo sababu si mnafungu kwa ajili ya hivyo viporo, ila sisi ndio hatupoi.
 
Wewe ndiye unayetokwa na povu kufungwa afungwe Dodoma FC, kuumia una umia ww shabiki wa Simba. Nyie subirini viporo vyenu vya kununua mnavyo tengenezewa na baba yenu TFF.

Tutaachaje kuwa na viporo wakati tuna majukumu makubwa ya Kitaifa mabegani mwetu? Msio na majukumu malizeni kabisa mechi zenu,sie tutakuja kufunga hesabu za mwisho wa msimu.
 
Tutaachaje kuwa na viporo wakati tuna majukumu makubwa ya Kitaifa mabegani mwetu? Msio na majukumu malizeni kabisa mechi zenu,sie tutakuja kufunga hesabu za mwisho wa msimu.
Msimu huu viporo havitalika kwa faida
 
Tutaachaje kuwa na viporo wakati tuna majukumu makubwa ya Kitaifa mabegani mwetu? Msio na majukumu malizeni kabisa mechi zenu,sie tutakuja kufunga hesabu za mwisho wa msimu.
Una majukumu gani una mechi Dar na umekaa zaidi ya siku 8 hujacheza mechi yoyote, tushawazoea na TFF yenu kila msimu viporo mnatengenezewa nyinyi.

Point tatu mabao manne, kesho mnacheza na tawi lenu Azam.
 
Back
Top Bottom