Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu ni kwamba haitaki kukurupukaMbona kama Simba haina mpango wa kusajiri kabisa dirisha dogo ??
Acha tusubiriHapana mkuu ni kwamba haitaki kukurupuka
Mtapata tabu msimu huu na wimbo wenu wa kubebwa, endeleeni kutengenezewa viporo na TFF yenu kama wanavyo wafanyia kila msimu.
Simba bado wapo klabu bingwa kumbeMalengo ya simba ni club bingwa huko, dirisha dogo isajili wachezaji wazuri watakaoiwezesha timu kutoboa makundi
Mkuu wameshasahau kama walishakaa miaka saba bila kombe la ligiEndelea kukalili na TFF yenu inayo watengenezea viporo kila msimu.
Kadata huyoSimba bado wapo klabu bingwa kumbe
Hata kama ni faSimba bado wapo klabu bingwa kumbe
Nani atoke povu kwani uongo misimu mitatu viporo mnatengenezewa nyie na TFF yenu, ili baadae mpate kuvinunua vizuri hivyo viporo. Hapa ndio ngoma inayeya soma ubao.....Tayari ushaanza kutokwa povu.Tulieni Wanaume wakavuje jasho kuwatengenezeeni tena mbeleko Kima Taifa
Nimeshangaa refa hajampa hata njano na anafanya Rafu hatarishi tena makusudiHuyu fala mwenye rasta Dodoma Jiji ni wakutoa pumbavu kabisa!
Bado wanapiga chabo mchezaji yupi wampe uraia na kumsajili Kama KibuMbona kama Simba haina mpango wa kusajiri kabisa dirisha dogo ??
Hahahahaha unaandika huku unaona aibu kuna offside ya ivoGoli offside mrefa wa bongo
Simba bado wapo klabu bingwa kumbe
Nani atoke povu kwani uongo misimu mitatu viporo mnatengenezewa nyie na TFF yenu, ili baadae mpate kuvinunua vizuri hivyo viporo.Hapa ndio ngoma inayeya soma ubao.....