Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Clear offside
Kwahiyo tukuamini wewe au tumuamini marefarii pamoja na wachambuzi ambao wamefanya marudio na kusema ni goli halali na huku marudio inaonesha dhairi shairi kuwa mpiga cross ndiye aliyekuwa yupo mbele zaidi ya mayele
 
What a miss!, Aliekewa na saidoo akapiga ya mtambalizo Fei toto lakini haikulenga lango
 
Kwahiyo tukuamini wewe au tumuamini marefarii pamoja na wachambuzi ambao wamefanya marudio na kusema ni goli halali na huku marudio inaonesha dhairi shairi kuwa mpiga cross ndiye aliyekuwa yupo mbele zaidi ya mayele

Huku kubebwa hakuwasaidii kitu,ni sawa na Mwanafunzi kufaulu kwa kupewa mtihani na majibu yake kabla.Mbivu na mbichi zinaonekana mkienda Kimataifa.
 
niamini mimi
 
Wewe una nini kimataifa? Hebu kampikie ugali mmeo mambo ya mpira huyajui
 
Refa alikataa miamala kutoka jangwani akazima na simu kabisa, anacho wafanya hapo dimbani hawaamini.
 
Huku kubebwa hakuwasaidii kitu,ni sawa na Mwanafunzi kufaulu kwa kupewa mtihani na majibu yake kabla.Mbivu na mbichi zinaonekana mkienda Kimataifa.
Kumbe mashabiki wengi wa Simba hawajui sheria ya offside akili yenu inawaza mtu akiwa peke yake ni offside. Nafasi aliyosimama Mayele na na mpigaji wa cross, mpiga cross ndiye aliyekuwa mbele kuliko Mayele.
 
Line one hayupo mchezoni, hii free kick iliyopigwa mayele alikua kwenye offside position na kakaaa kimya tu.
 
Yanga wanacheza mpira mzuri Sana na watashinda goli nyingi kama watakuwa makini na itachakizwa na vile Dodoma Jiji inacheza, inashangaza Sana yani Wana makosa mengi sana ya kizembe tena mbele ya lango lao
 
Simba tukifungwa ama kudraw kesho, hii safari itakua ngumu sana
 
Wewe una nini kimataifa? Hebu kampikie ugali mmeo mambo ya mpira huyajui

Mpuuzi mkubwa wewe,unashindwa kubaki kwenye maswala ya mpira unaniattack mimi,Mwanaume wa design hii ni ovyo tu,na wewe kati ya Wanaume unajiona mwanaume sasa.Pita hivi kwa comment zangu.Idiot.
 
Back
Top Bottom