Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Naam mpira ni mapumziko, yanga 1 Dodoma Jiji 0 .. bao la predator fiston kalala mayele
 
Niliwaambia huyu jamaa ni extra ordinary, amefunga goli gumu mno.
kwenye kikao si mlikubaliana kuwa hakuna mshabiki yeyote wa Simba kumsifia Mayele. Anatakiwa apondwe na kumsifu Kibu Denis tu
 
Kunywa mirinda nyeusi hapo halafu usirudishe chupa.


No stress
Duh ndio tumefikia hatua ya mtu kutoa oda za chupa za mirinda nyeusi kwa soda wanazokunywa wenzao. Sawa mkuu nakuwekea chupa ukitoka kwenye mishe zako nitakuelekeza uje uchukue wapi hiyo chupa
 
IMG_2917.jpg
 
Pole sana angalia Azam wanalichumbua goli kwa replay. Aliyekuwa mbele ni mpiga cross na wayele hakuwa mbele zaidi ya mpira cross. Goli halali kabisa
Sema ukishaona goli limefungwa halafu wachambuzi wakaliundia tume kujadili kama la halali au la mchongo hua haileti tafsiri nzuri, mpaka hapo kunafanya hilo goli liwe na mashaka sana
 
Back
Top Bottom