Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Endeleni na tabia yenu ya kujitengenezea viporo ila sisi ndio hatupoi na wala hatuboi Moloko anapiga msumari wa pili.
 
Kumbe mashabiki wengi wa Simba hawajui sheria ya offside akili yenu inawaza mtu akiwa peke yake ni offside. Nafasi aliyosimama Mayele na na mpigaji wa cross, mpiga cross ndiye aliyekuwa mbele kuliko Mayele.

Teh teh Mkuu nakwambia hii mbeleko inawapa unafuu tu wa kujisikia mpo vizuri lakini kiuhalisia bado sana.Ni swala la muda tu mbona.
 
Mpuuzi mkubwa wewe,unashindwa kubaki kwenye maswala ya mpira unaniattack mimi,Mwanaume wa design hii ni ovyo tu,na wewe kati ya Wanaume unajiona mwanaume sasa.Pita hivi kwa comment zangu.Idiot.
Wewe kolo acha makasiriko... tulia hao bwana zako dodoma jiji tuwashikishe adabu
 
Ngoja nifuate kiepee changu fasta, manake yule Kolo alivyo na nongwa!! Akirudi huko hasira zake zote lazima aje animalizie mimi utafikiri nakula bure 😀!
 
dah! umeme umekatika, acha na mimi sasa nisubiri kusimuliwa humu [emoji23]
 
Teh teh Mkuu nakwambia hii mbeleko inawapa unafuu tu wa kujisikia mpo vizuri,lakini ki uhalisia bado sana.Ni swala la muda tu mbona.
Sawa endelea kuwa mpenzi wa timu badala ya kuwa mpenzi wa mpira. Hata sheria ndogo tu ya offside inakupiga chenga.
 
Wewe kolo acha makasiriko... tulia hao bwana zako dodoma jiji tuwashikishe adabu

Ulipaswa kujikita kwenye utani wa mpira kama hivi.Maswala ya kumpikia mume wangu yanakuhusu nini? Haya furahia ushindi wa Rose Muhando lakini mwisho wa msimu povu kama lote baada ya Mnyama kubeba kombe lake tena kwa mara ya 5 mtawalia.
 
Walishawahi kuongoza kwa point 12 lakini mwisho wa msimu sote tunajua kilichotokea.Hatuna pressure kabisa,tunawaza kwanza jinsi gani tutatinga robo fainali ya CC,Team kubwa huwa inawaza mambo makubwa tu .
Wakati huo tofauti ya michezo ilikuwa mingapi, na hivi sasa tofauti ya michezo ni mingapi?!
 
dah! umeme umekatika, acha na mimi sasa nisubiri kusimuliwa humu [emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... mkuu hata ningekuwa mimi ningesema km hivi maana kwa Yanga hii kabumbu inalotandaza kuichukia ni kujipa presha bure
 
Huku kubebwa hakuwasaidii kitu,ni sawa na Mwanafunzi kufaulu kwa kupewa mtihani na majibu yake kabla.Mbivu na mbichi zinaonekana mkienda Kimataifa.
Mtapata tabu msimu huu na wimbo wenu wa kubebwa, endeleeni kutengenezewa viporo na TFF yenu kama wanavyo wafanyia kila msimu.
 
Malengo ya simba ni club bingwa huko, dirisha dogo isajili wachezaji wazuri watakaoiwezesha timu kutoboa makundi
Mbona kama Simba haina mpango wa kusajiri kabisa dirisha dogo ??
 
Walishawahi kuongoza kwa point 12 lakini mwisho wa msimu sote tunajua kilichotokea.Hatuna pressure kabisa,tunawaza kwanza jinsi gani tutatinga robo fainali ya CC,Team kubwa huwa inawaza mambo makubwa tu .
Endelea kukalili na TFF yenu inayo watengenezea viporo kila msimu.
 
Back
Top Bottom