Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Wooow what a turn!, fiston mayele, anapiga shuti kipa akaiona.
 
This was supposed to be a penalty, saidoo alikwatuliwa mguu ila refa ni kama alikua mbali mno kuona.
 
YANGA chama kubwa pambaneni muwachape hao wagogo mara moja.
 
Huyu line one ni kama hayupo mchezoni, ameamuru faul kuelekea yanga ambapo haikua faul kabisa
 
Back
Top Bottom