Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

mtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.
Wanayanga hatuna ushirikiano sijajua kwanini nimebakia peke yangu hapa na wadau wa simba wakati hii ni shuhuli yetu kabisa
 
Mechi haina mvuto kabisa labda tungoje akisha chapika mtu.
 
26’ Emmanuel Joseph Martin Anagongwa na Mustapha hapa anaenda Chini
 
Dodoma wanaupoteza mpira wameunasa yanga
 
Yanga wanapata kona, saidooo kaipiga lakini mayele kapiga kichwa na kuutoa mpira nje ya lango
 
30’ Emmanuel Josph Martin Anamcheza Faulo Saido karibu na 18, Saido anapiga Free kick kipa Anaidaka
 
Back
Top Bottom