Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Kikosi cha leo, Yassini na Mshery ndani
IMG_20211231_183711.jpg
 
Wanatamani Yanga Tufungwe Lakini Kibaya Haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshery ni kipa wa kawaida mnoo, hana kabisa sifa anazopewa, kama mnabisha tulieni mjionee.
 
Hizi ni jezi ambazo zilidoda msimu uliopita wanazigawa kwa kujifanya wana show love, kama ni hivyo wangegawa za msimu huu basi [emoji23].
 
Back
Top Bottom