Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Mlinda mlango wa Dodoma yuko chini baada ya kuruka kupangua mpira na kugongana na Mayele
 
Kipa wa Dodoma Jiji yupo chini baadabya kupigwa kichwa na mayele
 
Wananchi tunakwama wapi, sherehe yetu hii lakini mmneniachia peke yangu?

Sijapenda
 
Inawekwa Kona fupi, anasetiwa mauya anapaisha mawinguni
 
Mayele anamtoka kipa, anaiweka ndani inaokolewa na walinzi wa Dodoma jiji
 
What a miss, pass ndefu kutoka kwa Fei anapiga shuti kali mayele, kipa anaokoa
 
Fiston mayele kafanya attempt moja lakini mpira umeokolewa na kutoka nje na kuwa kona
 
Yanga wanaonekana kutawala zaidi mchezo
 
wanacheza pata potea hapa Dodoma Jiji, inaonyesha dhahiri confidence yao ipo chini mno
 
mtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.
 
mtoa mada ana ufala flani hivi wa kukimbilia kuanzisha nyuzi kuhusu mechi alafu anatokomea kusiko julikana, wanayanga pia mnajifanya mpo bize, nimechoka kuandika kwahelini.

Mkuu vipi
 
Back
Top Bottom