Yanga SC bado sana

tatamajuva

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
74
Reaction score
84
Utopolo SC mnatakiwa kujipanga upya, na dalili zinaonesha mnatakiwa kusubiri sana ubingwa Tpl kwa kiwango mlichoonyesha Leo kwa timu dhaifu. Ya GEITA GOLD.

Msitumie nguvu nyingi kupitia viongozi wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni mashabiki wa Yanga kutoa motisha kwa timu za mikoa hiyo ili zinapopambana na Simba mkaacha kuweka mikakati ya timu yenu mtafeli Sana.

Ubingwa msahau
 
Ibaki hivohivo ili tuendelee kuteswa na Simba(wanaukawa)..tumejipambanua sisi niwananchi
 
Wakati unaisema na kuikejeli Yanga, timu yako ya Moo and Babra fc inashinda kwa kutegemea kadi nyekundu, na penati za kubebwa na kwamuzi!

Kinyume na hapo, ni kipigo tu.
 
Yanga na Simba kila mmoja kacheza mechi 2,Tofauti ni kwamba Yanga ana point 6 na Magoli 2 wakati Simba ana point 4 na Goli 1.

Bado Simba mnaangaika kuifutilia Yanga wakati huo huo ushindi wa Simba ni wa kupewa pewa mechi ya kwanza alipewa penati dakika za mwisho ili kuhokoa jahazi ikashindikana mchezo wa jana mchezaji wa Dodoma jiji akala Nyekundu ili kuwadhoofisha Dodoma jiji ndiyo unaona kocha wa

Simba anafanya mabadiliko na kuingiza mafowadi tegemezi wote Boko,Kagere,Mugalu hali bado ikawa ngumu na mpira wao wa Butu Butu hakuna tena Biriani wanakuja kupata goli kwenye dakika ya 70 huko yani vululu vululu pamoja na Dodoma jiji kuwa pungufu kwa zaidi ya dakika 50 bado Simba alikuwa anacheza hovyo hovyo Sasa acha hiyo nenda kaangalie shot on Target hazifiki 3 na hata utengenezaji wa nafasibza Magoli hakuna kitu yani ni hovyo hovyo.

Bado wanajitia moyo na kuichambua Yanga wao wanajiona wako sawa. Mechi ya Yanga dhidi ya Geita Gold Yanga kanyimwa goli la Mayele mtaalamu wa kufunga yule yule aliyewaua Simba goli la wazi limekataliwa wala halikuwa Offside wachambuzi wote wanalizungumzia na hata hivyo Yanga walitengeneza nafasi kumi na moja za kufunga Magoli ukiachana na Magoli mawili yaliyokataliwa kwa kisingizio Cha Offside .

Nenda kwa Simba Angalia mechi zao uchezaji wao na utengenezaji wa nafasi za Magoli hakuna kitu.Nawaambia Simba ni suala la Muda tu wajue wanaenda kutia aibu klabu Bingwa tena watakula kipigo Cha kuwaaibisha na ndipo mtajua kweli timu yenu iko hovyo kwa Sasa bado mnajifanya hamuelewi ila mtaelewa tu siku si nyingi.

Msimu huu ni giza Totoro kwa Simba wale mashabiki lialia mjiandae kupokea matokeo ya hovyo/ matokeo tia maji tia maji/Matokeo vululu vululu.
Kadi Nyekundu ndiyo utakuwa msaada wenu vinginevyo hakuna kitu
 
Halafu mashabiki wengi wa utopolo wanaishi kwa mashemeji zao.
Dalili ni matusi waliyonayo,yanaonesha kuakisi hisia za maumivu wanayopata kwa kusikilizia vilio vya dada zao chumbani.

Hameni kwa shemeji zenu mtapata akili
 
💫TUKUBALIANE Young Africans Sports Club BADO HAINA CHEMISTRY💥
Jamani Wacha MBUZI tusisahau sisi ndo tulisema kulingana na usajili mpya Young Africans Sports Club
Itawachukua miezi mitatu(3) kuzoeana.Si tulisema na video zipo hata ukienda kwa salehjembefacts
Utazikuta.Mpaka sasa Young Africans Sports Club
Kufanikiwa kupata ushindi ni UBORA wa wachezaji tu bado hawana CHEMISTRY kabisa na bado MAREFA wamechukua goli 2 za timu ambayo haina CHEMISTRY🙆‍♀️🙆‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Tusubiri ipite miezi mitatu mlosema hii timu ipate CHEMISTRY alafu tuone mtu kama hajapasuka
 
Mara Chemistry mara sijui pumzi khaa!!
Tupumzike bana, twende tukaenjoy kuangalia mpira basi tuburudike
 
Ndiyo upuuzi wa GSM,alianza kuwekeza kwenye vyombo vya habari kuipamba Yanga akafeli sasa amewekeza kwenye hujuma ili wachezaji wa Simba waumizwe akiamini itampa ubingwa. Huyu anachoweza ni kukwepa kulipa kodi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…