Yanga SC bhana!

Yanga SC bhana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zilizkuwa ni tetesi tu za kimitandani.

Ukitumia akili za kuzaliwa bila kushawishiwa na mtu yeyote huwezi kuamini kuwa Yanga SC wameshindwana na NABI basi watawezana na PITSO.

Mambo mengine ya mitandaoni ni kujiongeza tu kabla ya kuyafikisha katika hatua ya juu kabisa ya kuyaamini.
 
simba nayo naona inapiga mdomo sana hii ni ishara ya usajili wa makachakacha
Wanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA"

Nimekumbuka Sarpong.[emoji23]
20230618_101113.jpg
 
Yaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?

Hivi huwa mnavuta Bange au?
Kwa bongo hamna timu yoyote yenye uwezo wa kumlipa mshahara wa hela hiyo, so kama kaende ndio maisha ya mpira,husizani kwamba Barca walimuachia Messi aende Miami husizani kwamba walipenda,bali hali yao ya kiuchumi

Kaondoka CR 7 Man Utd, Pep Barca na maisha ya kaendelea.
 
Yaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?

Hivi huwa mnavuta Bange au?
Sio bangi MKUU wanavuta Shisha [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Yaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?

Hivi huwa mnavuta Bange au?
Kama nikweli basi hilo ni bangi
 
Back
Top Bottom