GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA"simba nayo naona inapiga mdomo sana hii ni ishara ya usajili wa makachakacha
mambo ya hovyo kabisaWanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA"
Nimekumbuka Sarpong.[emoji23]View attachment 2661156
Naona watani zangu wamekaa kimya....mambo ya hovyo kabisa
Tumefurahi kabisa maana tumewapokonya tonge mdomoniNaona watani zangu wamekaa kimya....
Sijui wamefurahi na usajili huo au la.
Kwa bongo hamna timu yoyote yenye uwezo wa kumlipa mshahara wa hela hiyo, so kama kaende ndio maisha ya mpira,husizani kwamba Barca walimuachia Messi aende Miami husizani kwamba walipenda,bali hali yao ya kiuchumiYaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?
Hivi huwa mnavuta Bange au?
Kauli ya rage ndio yenye nguvuWenye akili ni wawili 2
Sio bangi MKUU wanavuta Shisha [emoji125][emoji125][emoji125]Yaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?
Hivi huwa mnavuta Bange au?
Sheri za nchi haziruhusuKwani kuvuta bangi ni kosa toka lini?
Kasoro mieMashabiki wengi wa simba wanapitia maumivu makali sana kwenye mioyo yao.
Kama nikweli basi hilo ni bangiYaani Kocha Nabi aliwaomba mumuongezee Mshahara mumpe Tsh Milioni 50 kwa Mwezi mkashondwa leo ndiyo mumuweze Kocha Pitso Mosimane anayelipwa Tsh Milioni 200 kwa Mwezi?
Hivi huwa mnavuta Bange au?
Kuliko yule aliewaita manyani na mambwa mnabweka bweka hovyo n bado mnatakiwa kumlipa kwa kuwatukana?Kauli ya rage ndio yenye nguvu