The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Jun 18, 2023 #21 Al Ahly walikuwa wanamlipa milioni 300 Kwa mwezi.. Anaweza kuja Yanga kama atakuwa ana tamani kujaribu kitu tofauti lakini lazima Yanga angalau wafike hata milioni 100 Tu Kwa mwezi.. Otherwise..uzushi mtupu...
Al Ahly walikuwa wanamlipa milioni 300 Kwa mwezi.. Anaweza kuja Yanga kama atakuwa ana tamani kujaribu kitu tofauti lakini lazima Yanga angalau wafike hata milioni 100 Tu Kwa mwezi.. Otherwise..uzushi mtupu...
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jun 18, 2023 #22 Tate Mkuu said: Mashabiki wengi wa simba wanapitia maumivu makali sana kwenye mioyo yao. Click to expand... Kwa ajili ya nini, ujio wa Pitso Mosimane?
Tate Mkuu said: Mashabiki wengi wa simba wanapitia maumivu makali sana kwenye mioyo yao. Click to expand... Kwa ajili ya nini, ujio wa Pitso Mosimane?
M Mark Morrison Member Joined Apr 5, 2023 Posts 41 Reaction score 40 Jun 19, 2023 #23 H demigod said: Wanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA" Nimekumbuka Sarpong.[emoji23]View attachment 2661156 Click to expand... Uyu mbona kama Crazy GK?
H demigod said: Wanatakaa kucheza fainali CAF, Viongozi wao wamewaletea striker kutoka Ligi ya "RWANDA" Nimekumbuka Sarpong.[emoji23]View attachment 2661156 Click to expand... Uyu mbona kama Crazy GK?