[emoji23][emoji23]Wacha uwongo wewe Yanga haishiriki kwenye mashindano ya Club Bingwa,Yanga yako ilifurushwa huko ikaangukia kwenye Loosers cup. Wadanganye wala mihogo wenzako
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
League ya wanawake sio sawa na league ya wanaumeYanga wamepewa 14% kuchukua ubingwa pale mjini CAF.......
Makolo 3%[emoji23][emoji23]View attachment 2577611
Yaani university students wajifunze Kwa ma form one. Huo Ni uchawi.YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.
Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13.
Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.
Kwenye mahesabu wamepata faida mbili kubwa, Yanga wamepata faida ya kwanza ni kutokutana na waliomaliza nafasi ya kwanza katika makundi ikiwa watamaliza hivyo.
Faida ya pili ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani mchezo wa robo fainali. Sio kila klabu imeweza msimu huu.
Yanga imechukua alama 6 muhimu kwa TP Mazembe na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kupata ushindi kwenye dimba la TP Mazembe. Yanga wameonesha kuwa wao ni bora sana popote wana shinda.
Yanga inatengeneza bond kubwa na CAF kwa kasi mno. Jitihada za GSM, wanachama mpaka mashabiki wameamua kuwa pamoja kutafuta mafanikio zaidi kimataifa, wachezaji wanajituma sana dimbani.
TP Mazembe walifanya kila kitu lakini Young Africans walifanya kila kitu kwa usahihi! approach nzuri imewapa matokeo. Yanga wamefanya vizuri sana kwenye hatua ya Makundi, hii ni kutokana na ubora wa kikosi chao.
NB: Maendeleo hayana Chama ...sisi wanasimba tujifunze kitu
View attachment 2577610
Mashoga mnaongezeka labda cuf ya lipumbaKwa maana nyingine caf tayari wameiweka Yanga nusu fainali[emoji119][emoji119][emoji119]
Naunga mkono hojaYaaah mkuum...vigezo vinaongea
Mada inapaswa iishie hapa maana mleta uzi alikuwa anaandika akidhani Yanga imeshiriki Ligi ya Mabingwa wa Afrika, lakini ukweli ni kwamba Yanga ilitolewa hatua za mapema katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika, na michuano inayoshiriki ni mingine kabisa, wala sio ya Mabingwa wa AfrikaKlabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13. Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.
Sema kombe la CAF la luzas,.Yanga wamepewa 14% kuchukua ubingwa pale mjini CAF.......
Makolo 3%[emoji23][emoji23]View attachment 2577611
Hapa ndio tatizo la utopolo linapoanziaAlifanya Kwa kutumia ndumba sana
aisee!!!Yanga wamepewa 14% kuchukua ubingwa pale mjini CAF.......
Makolo 3%[emoji23][emoji23]View attachment 2577611
Hapo kwenye ligi ya mabingwa😄😄😄😄SijaelewaYANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.
Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13.
Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.
Kwenye mahesabu wamepata faida mbili kubwa, Yanga wamepata faida ya kwanza ni kutokutana na waliomaliza nafasi ya kwanza katika makundi ikiwa watamaliza hivyo.
Faida ya pili ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani mchezo wa robo fainali. Sio kila klabu imeweza msimu huu.
Yanga imechukua alama 6 muhimu kwa TP Mazembe na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kupata ushindi kwenye dimba la TP Mazembe. Yanga wameonesha kuwa wao ni bora sana popote wana shinda.
Yanga inatengeneza bond kubwa na CAF kwa kasi mno. Jitihada za GSM, wanachama mpaka mashabiki wameamua kuwa pamoja kutafuta mafanikio zaidi kimataifa, wachezaji wanajituma sana dimbani.
TP Mazembe walifanya kila kitu lakini Young Africans walifanya kila kitu kwa usahihi! approach nzuri imewapa matokeo. Yanga wamefanya vizuri sana kwenye hatua ya Makundi, hii ni kutokana na ubora wa kikosi chao.
NB: Maendeleo hayana Chama ...sisi wanasimba tujifunze kitu
View attachment 2577610
Mbu Mbu mbu....mmeumaliza mwendoHivi aliyemnunulia Chura smartphone ni nani aisee achukue smartphone yake chap......, huyu anaonyesha ndo mwenye akili zaidi pale Utopoloni mpaka akajua Yanga inacheza CAF CHAMPIONS LEAGUE sio Losses Cup......., Hata kama tunajua Hamna Utopolo mweye akili bhas jaribuni kuficha umbumbunbu wenu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]