Yanga SC imetufundisha Simba mahesabu Kila hatua kimataifa

Nimeishia hapo uliposema Yanga yupo Club Bingwa.
Kweli akili huna kabisa
 
YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.

Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13.

Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.

Kwenye mahesabu wamepata faida mbili kubwa, Yanga wamepata faida ya kwanza ni kutokutana na waliomaliza nafasi ya kwanza katika makundi ikiwa watamaliza hivyo.

Faida ya pili ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani mchezo wa robo fainali. Sio kila klabu imeweza msimu huu.

Yanga imechukua alama 6 muhimu kwa TP Mazembe na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kupata ushindi kwenye dimba la TP Mazembe. Yanga wameonesha kuwa wao ni bora sana popote wana shinda.

Yanga inatengeneza bond kubwa na CAF kwa kasi mno. Jitihada za GSM, wanachama mpaka mashabiki wameamua kuwa pamoja kutafuta mafanikio zaidi kimataifa, wachezaji wanajituma sana dimbani.

TP Mazembe walifanya kila kitu lakini Young Africans walifanya kila kitu kwa usahihi! approach nzuri imewapa matokeo. Yanga wamefanya vizuri sana kwenye hatua ya Makundi, hii ni kutokana na ubora wa kikosi chao.

NB: Maendeleo hayana Chama ...sisi wanasimba tujifunze kitu

View attachment 2577610
Yaani university students wajifunze Kwa ma form one. Huo Ni uchawi.
 
Hivi aliyemnunulia Chura smartphone ni nani aisee achukue smartphone yake chap......, huyu anaonyesha ndo mwenye akili zaidi pale Utopoloni mpaka akajua Yanga inacheza CAF CHAMPIONS LEAGUE sio Losses Cup......., Hata kama tunajua Hamna Utopolo mweye akili bhas jaribuni kuficha umbumbunbu wenu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13. Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.
Mada inapaswa iishie hapa maana mleta uzi alikuwa anaandika akidhani Yanga imeshiriki Ligi ya Mabingwa wa Afrika, lakini ukweli ni kwamba Yanga ilitolewa hatua za mapema katika Ligi ya Mabingwa wa Afrika, na michuano inayoshiriki ni mingine kabisa, wala sio ya Mabingwa wa Afrika
 
YANGA SC IMETUFUNDISHA MAHESABU KILA HATUA KIMATAIFA.

Klabu ya Yanga wametengeneza mahesabu makubwa sana kwenye mashindano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kumaliza kinara wa kundi lake akiwa na alama 13.

Jambo hilo ni historia kwao na kwa Taifa kwa ujumla licha ya kwamba Simba aliwahi kuongoza Kundi Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Al Ahly.

Kwenye mahesabu wamepata faida mbili kubwa, Yanga wamepata faida ya kwanza ni kutokutana na waliomaliza nafasi ya kwanza katika makundi ikiwa watamaliza hivyo.

Faida ya pili ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani mchezo wa robo fainali. Sio kila klabu imeweza msimu huu.

Yanga imechukua alama 6 muhimu kwa TP Mazembe na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kupata ushindi kwenye dimba la TP Mazembe. Yanga wameonesha kuwa wao ni bora sana popote wana shinda.

Yanga inatengeneza bond kubwa na CAF kwa kasi mno. Jitihada za GSM, wanachama mpaka mashabiki wameamua kuwa pamoja kutafuta mafanikio zaidi kimataifa, wachezaji wanajituma sana dimbani.

TP Mazembe walifanya kila kitu lakini Young Africans walifanya kila kitu kwa usahihi! approach nzuri imewapa matokeo. Yanga wamefanya vizuri sana kwenye hatua ya Makundi, hii ni kutokana na ubora wa kikosi chao.

NB: Maendeleo hayana Chama ...sisi wanasimba tujifunze kitu

View attachment 2577610
Hapo kwenye ligi ya mabingwa😄😄😄😄Sijaelewa
 
Hivi aliyemnunulia Chura smartphone ni nani aisee achukue smartphone yake chap......, huyu anaonyesha ndo mwenye akili zaidi pale Utopoloni mpaka akajua Yanga inacheza CAF CHAMPIONS LEAGUE sio Losses Cup......., Hata kama tunajua Hamna Utopolo mweye akili bhas jaribuni kuficha umbumbunbu wenu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mbu Mbu mbu....mmeumaliza mwendo
 
Back
Top Bottom