Yanga SC imetufundisha Simba mahesabu Kila hatua kimataifa

We Utopolo rekebisha kwanz Yanga yuko shirikisho sio klabu bingwa. Halafu nashangaa sana. Kila kinachofanywa na Yanga leo Simba wameshakifanya. Kama kushinda home na away Simba waliwafunga as Vita wakiwa na Mayele djuma ndani. Kama kuongoza group Simba wameshafanya Ila hizi kelele [emoji23][emoji23].
 
Lini mlishinda Kwa mwarabu
 
Kujadili nyuzi za ma looser ni kupoteza muda. Watu wako busy na kutaka kujua nani atakutana na nani klabu bingwa nyie mnakuja na nyuzi za kombe la ma looser. Tumechoka mtupumzishe
Mliloga hadharani kule South Africa kwenye kombe hilo hilo
 
Simba yupo group la champions cup lenye wababe wa africa..., yanga yupo shirikisho cup lenye loosers wa champions cup waweza sema yanga ni bora kwa loosers
Hapa Tz kwenye NBC Premier league Yanga yuko juu akimuacha Simba kwa 8 points. Kama Yanga ni bora kwa loosers, huyu Simba aliyeachwa point 8 ni mbovu sana kumbe kwa sababu aliye juu ni mbovu.
 
Hapa Tz kwenye NBC Premier league Yanga yuko juu akimuacha Simba kwa 8 points. Kama Yanga ni bora kwa loosers, huyu Simba aliyeachwa point 8 ni mbovu sana kumbe kwa sababu aliye juu ni mbovu.
Hawezi kukujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…