NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kongolee kwa wanayanga kwa matokeo haya tuliyoyapata dhidi mwarabu (USM ALGER).
Nilishawahi kuleta Uzi humu wakumwaga maua kwa Khalid Aucho na kusema ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha Yanga na kweli leo pengo lake limeonekana bila ya kificho ijapo kuwa huwa tunashupaza mishipa ya shingo kwa kuimba Yanga Ina kikosi kipana.
Kukosekana kwa Khalid Aucho imeharibu mipango ya kocha Nabi tofauti na vile alivyozoea kumpanga Mudathr Yahya namba kumi huku Azizi kii akianzia benchi.
Ina maana kuwa Mudathir anaweza kushuka chini kusaidiana na Aucho pamoja na bangala endapo timu inapokuwa Haina mpira hicho ndicho kitu kinachompa faida Kocha Nabi.
Ujuzi wa kupiga pasi nakukaba kwa kutumia nguvu pamoja na urefu wa Khalid Aucho ilikua ni faida kubwa sana endapo angekuwepo tungeona mabadiliko makubwa dimba la Kati na timu kupata matokeo.
Pengo la Khalid Aucho pale Kati lilionekana vizuri tu na namba kumi aziz kii alikuwa hapati mipira kutoka kwa namba nane.