Caesar14
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 556
- 1,044
NALIA NGWENA ningekuwa namfahamu mtu aliyekaribu na wewe ningemwambia akunyang'anye hiyo simu walau hata masaa mawili then akurejeshee ingekusaidia sana!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ijayo atachezaKweli kabisa mkuu sijui awam hii ya pili aanze sureboy na bangala then Mudathir Yahya acheze kumi na azizi kii aanzie benchi kwanza.
Ziangalie timu Zenyewe ilizopata na ndizo Yanga inajisifu kuzitoa..Pateni na nyinyi mchukue kombe
Agosto?Na bado...!
Mtaongea Mengi sana..!
Mkubali tu mwaka huu mlipata timu mdebwedo.!
Timu pekee iliyokuwa njema ilikuwa ni Al hilal na iliwafurusha CAF CL.
Akubali tu kakandwa atulize takoKwa hiyo wewe na akili zako unadhani Kuna kocha atakosa Cha kuzungumza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiiiNa bado...!
Mtaongea Mengi sana..!
Mkubali tu mwaka huu mlipata timu mdebwedo.!
Timu pekee iliyokuwa njema ilikuwa ni Al hilal na iliwafurusha CAF CL.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado profesa nabi maji marefu baada ya mechi alikuwa analalamika muda wa maandalizi ulikuwa hautoshi sasa hicho kikosi chenu kipana kimetanuka wapi nyumaaa au mbelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaaaa.Sasa pale walikua wanacheza wachezaji au uchawi Hadi kibu anafunga mbona kimataifa alikua anarukaruka tu.
[emoji123]Pia mechi ikizidi wanasiasa na viongozi wa juu Huwa inaharibika,mara mabango uwanjani,mara sijui wabunge nani asiyejua kwamba bunge letu Lina mkosi..? Ifikie hatua mpira ujitenge na siasa.