Yanga SC itoe taarifa kwa umma kama matakwa yao kwa TFF yamepata ufumbuzi

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
8,011
Reaction score
11,447
Salaam Members!

Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.

Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.

Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.

Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.

Kibaya zaidi hakuna hata mmoja aliyeelezea kilichozungumzwa na Rais na badala yake ni picha zimesambaa tu mitandaoni.
 
Ali Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
 
Nakuunga mkono asilimia 1000 watoke waseme je matakwa yao yalitekelezwa au ndio ujinga wa siasa na tamaa ya madaraka waliadiwa kupewa ubunge wameamua kulegeza kamba
 
Yanga ni timu dhaifu sana , pale wenye akili timamu ni wawili tu, haiwezekani wayeyuke ghafla
 
Nakuunga mkono asilimia 1000 watoke waseme je matakwa yao yalitekelezwa au ndio ujinga wa siasa na tamaa ya madaraka waliadiwa kupewa ubunge wameamua kulegeza kamba
Hatujaona hata video moja imetoka baada ya kuongea na Rais.

Yanga wamelazimishwa na Rais Samia derby ichezwe
 
Ali Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
vilabu havina maamuzi ya mwisho iwapo raisi ataingilia,tofauti na hapo simba na yanga wanaweza amua vitu na washafanya hivyo sana
 
Salaam Members!

Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.

Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.

Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.

Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.

Kibaya zaidi hakuna hata mmoja aliyeelezea kilichozungumzwa na Rais na badala yake ni picha zimesambaa tu mitandaoni.
Hujui kitu...subiri movie inakoishia...
 
vilabu havina maamuzi ya mwisho iwapo raisi ataingilia,tofauti na hapo simba na yanga wanaweza amua vitu na washafanya hivyo sana
Duniani kote kuna mamlaka ya mwisho, ila kwahili kuna watu watajiuzuru pale TPLB na pia watakoma tena siku nyingi kufanya maamuzi ya kukurupuka
 
Salaam Members!

Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.

Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.

Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.

Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.

Kibaya zaidi hakuna hata mmoja aliyeelezea kilichozungumzwa na Rais na badala yake ni picha zimesambaa tu mitandaoni.
nadhani unaelewa kauli ya raisi ni kama sheria,ila sio TFF wala bodi ya ligi ndo maana wamehairisha mechi mara mbili kwa mashinikizo
 
Kwa joto walilolipata hawatafanya maamuzi ya kijinga kama yale,kisa Simba ilikuwa na majeruhi wawili na mechi ikaahirishwa, upuuzi sana ule
Screenshot_20250613-183630~2.png
 
Ali Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
Huu ndio upuuzi na ujinga unasumba bongo
 
Mkiambiwa Siasa ni Maisha muwe mnaelewa...
siasa ni kila kitu nashangaa ikiingia kwenye dini inakuwa kosa..

Hapo hakuna atakayekuja na majibu ya kueleweka...
dabi ya mama..
 
Back
Top Bottom