The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Nakuunga mkono asilimia 1000 watoke waseme je matakwa yao yalitekelezwa au ndio ujinga wa siasa na tamaa ya madaraka waliadiwa kupewa ubunge wameamua kulegeza kambaSalaam Members!
Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.
Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.
Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.
Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.
Yanga ni timu dhaifu sana , pale wenye akili timamu ni wawili tu, haiwezekani wayeyuke ghaflaAli Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
Mabasha wako wameposti mnaendaHatutakwenda uwanjani Ng'oooo
Hatujaona hata video moja imetoka baada ya kuongea na Rais.Nakuunga mkono asilimia 1000 watoke waseme je matakwa yao yalitekelezwa au ndio ujinga wa siasa na tamaa ya madaraka waliadiwa kupewa ubunge wameamua kulegeza kamba
vilabu havina maamuzi ya mwisho iwapo raisi ataingilia,tofauti na hapo simba na yanga wanaweza amua vitu na washafanya hivyo sanaAli Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
Hujui kitu...subiri movie inakoishia...Salaam Members!
Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.
Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.
Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.
Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.
Kibaya zaidi hakuna hata mmoja aliyeelezea kilichozungumzwa na Rais na badala yake ni picha zimesambaa tu mitandaoni.
Duniani kote kuna mamlaka ya mwisho, ila kwahili kuna watu watajiuzuru pale TPLB na pia watakoma tena siku nyingi kufanya maamuzi ya kukurupukavilabu havina maamuzi ya mwisho iwapo raisi ataingilia,tofauti na hapo simba na yanga wanaweza amua vitu na washafanya hivyo sana
nadhani unaelewa kauli ya raisi ni kama sheria,ila sio TFF wala bodi ya ligi ndo maana wamehairisha mechi mara mbili kwa mashinikizoSalaam Members!
Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi.
Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha.
Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama yamefikiwa.
Yanga mlisimama kidete sana lakini ghafla mmekuwa wanafiki kwa maamuzi yenu.
Mashabiki wa Yanga mtupe mrejesho maana klabu yenu haina msimamo bali mikwara tu.
Mmetumia nguvu nyingi ila mmelegezwa haraka sana.
Kibaya zaidi hakuna hata mmoja aliyeelezea kilichozungumzwa na Rais na badala yake ni picha zimesambaa tu mitandaoni.
Ndio ipo hivyo wamelambishwa asali lakini wajue kwamba wamezingua sana tuHatujaona hata video moja imetoka baada ya kuongea na Rais.
Yanga wamelazimishwa na Rais Samia derby ichezwe
Huu ndio upuuzi na ujinga unasumba bongoAli Kamwe Mjinga sana anahisi Club yao inaweza Kufanya maamuzi ya Mwisho?
Vilabu vya simba na Yanga sio tu Vilabu vya mipira ni vilabu vya propaganda ya dola ivo club haiwezi kuwa na maamuzi ya mwisho kwa vile vina watu nyuma yao ivo lazima viwe monitored, Regulated na Viwe under watch kwa sababu ya influence yao.
nilichamaanisha mimi hapo ni kwamba hapa kwetu mwenye maamuzi ya mwisho raisi,kama si kuitwa dodoma leo dabi ingebaki historiaDuniani kote kuna mamlaka ya mwisho, ila kwahili kuna watu watajiuzuru pale TPLB na pia watakoma tena siku nyingi kufanya maamuzi ya kukurupuka
Toeni kwanza majibu ya hiiDuniani kote kuna mamlaka ya mwisho, ila kwahili kuna watu watajiuzuru pale TPLB na pia watakoma tena siku nyingi kufanya maamuzi ya kukurupuka
Wewe unaejua unajua nini?Hujui kitu...subiri movie inakoishia...