Yanga SC itoe taarifa kwa umma kama matakwa yao kwa TFF yamepata ufumbuzi

Sasa wewe unasema akuna ata Mmoja anayejua kilichozungumzwa na wakati huo huo unawataka mashabiki wa yanga wakueleze kama matakwa yao yameafikiwa uoni kwamba unajichanganya wewe mwenyewe?
Kwanini usisubili kinachofata kabla ya mechi kuchezwa haraka ya nini?
 
Yanga hawajaeleza chochote bali wameposti tu rasmi bila maelezo.
Yanga kama Akili wanayo wangesema kilichotokea hadi wakawa diluted pale Chamwino.

Mbona juzi mlifanya kikao na baada ya kikao mkatoa mrejesho?
 
Hiyo tu tayari ni ushindi kwa yanga!

Unafikiri Karia atarudia ule ujinga wa tarehe 8?
Na ni ushindi kwa Simba, unadhani Yanga watarudia ushenzi wa kupeleka mabaunsa kulinda uwanja jumanne ya tarehe 24?
 
Makolo hayawahusu mambo yetu,tukitaka kuweka hadharani tutayaweka na endapo hatutaki kuyaweka hadharani niuamuzi wetu.
 
Kuanzia leo nmevunja unazi wa hiz timu mbili za kariakoo..zinatumika kisiasa kupumbaza wananchi wkt deni la taifa n t 107
 
Wewe unaejua unajua nini?
Mmeshindwa kutetea masilahi yenu matokeo yake mmekuwa diluted pale chamwino
Ndugu yangu wewe bado mchanga wa mambo haya.....Tulia na usikilizie kinachoendelea....movie ndiyo kwanza imeanza..Mguto ataondoka, Kasongo naye atang'oka...Kidau naye yumo njiani...watoa hongo nao wa timu fulani waliohonga marefa na kufanya timu fulani ipore pointi 15 nao jela inawasubiri..Tulia
 
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Hiyo tu tayari ni ushindi kwa yanga!

Unafikiri Karia atarudia ule ujinga wa tarehe 8?
Madai yenu yote yametekelezwa? Sisi Simba tunachotaka ni pointi tatu. Zipatokane tarehe 15 au 25, sisi ni pointi tatu. Lakini nyie mliyotaka mmeyapata? Pesa za Ubingwa wa CRDB mmepewa? Bodi imevunjwa? Karia je? Ahahahahaha!!!
 
Bado hujapata taarifa?
 
Isije tu ikawa ulikiwa kwenye lile kundi la mashabiki waliodanganywa na viongozi wao kukata tiketi ili kuhudhuria tukio lililo tarajiwa kufanyika kesho, la timu yao kupewa pointi 3 na magoli 3 ya bure.
 
Isije tu ikawa ulikiwa kwenye lile kundi la mashabiki waliodanganywa na viongozi wao kukata tiketi ili kuhudhuria tukio lililo tarajiwa kufanyika kesho, la timu yao kupewa pointi 3 na magoli 3 ya bure.
Mkuu watu wameingia mitini leo, lakini vp mmepewa hela tayari au danadana tu?

Sababu ni kama kuondolewa kwa wachache mmeridhika tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…